- 歌詞
- 專輯列表
Leteipa the King
-
Baki na Mimi
INTRO; Ni vampK 254. Mhhhhh
VERSE 1: Kukutazama, Ukitabasamu Nikama kuwatch movie za afro, siwezi boeka We ndo kitabu, Mi ndo kalamu Niliumbwa kwa ajili yako, Kama masai na Rubeka Ninatamani ningewa yako mavazi Nikusitiri nikuguse Kila wakati Ungewa stew ama kasupu ka mbaazi Ningewa sembe Mokimo ama chapati
HOOK: Baki na Mimi kipenzi, nikushughulikie Kila asubihi, nirauke, ili nikupikie Nikuogeshe, nikuvishe, mpaka uvutie Kamba za viatu babe, mi nikufungie
CHORUS: (Baki namimi) ntangangana nikuwe chochote unachotamani (Ooh Baki namimi) nitakonda utavimba , utakopa ntalipa mama (Baki na Mimi) naapa kukutunza kuliko wako wa zamani (Ooh Baki na Mimi) ukisota ntaiba , Utapona nna tiba mamaa 更多更詳盡歌詞 在 ※ Mojim.com 魔鏡歌詞網
VERSE 2: Nakama ungewa, mwanasiasa,ninge piga kampeni zako Nikusifie, kwa giza na mwangaza, mpaka kwa maadui zako Nitakubusu bila woga hadharani Ili wajue wewe ndo wangu mwandani Ungewa kijiko lazma ningewa sahani Kututenganisha Hilo haliwezekani
HOOK: Baki na Mimi kipenzi, nikushughulikie Kila asubihi, nirauke, ili nikupikie Nikuogeshe, nikuvishe, mpaka uvutie Na ukichoka,nikubebe, wivu wasikie
CHORUS: (Baki namimi) ntangangana nikuwe chochote unachotamani (Ooh Baki namimi) nitakonda utavimba , utakopa ntalipa mama (Baki na Mimi) naapa kukutunza kuliko wako wa zamani (Ooh Baki na Mimi) ukisota ntaiba , Utapona nna tiba mamaa
-
|